NJIIMNET
Install Now
NJIIMNET
NJIIMNET

NJIIMNET

Sell and buy cars kijanja.

Developer: Olorok Tech
App Size:
Release Date: Nov 12, 2024
Price: Free

Screenshots for App

Mobile
Kwa miaka mingi, kununua au kuuza gari kumekuwa na changamoto. Bei zisizo wazi, ada zisizotarajiwa, na maamuzi makubwa bila taarifa kamili. Tumekutengenezea njia rahisi na bora zaidi.

Fikiria mfumo unaokupa uwezo wa ku-:
- Uza haraka
- Ongeza faida yako
- Furahia uwazi wa 100%
- Pata muda zaidi wa bure

NJIIMNET inakusaidia kuagiza gari kirahisi na kukupa nguvu katika mapatano ya bei.
- Weka bajeti yako.
- Pokea ofa za waagazaji mbali mbali.
- Linganisha bei kirahisi.
- Kubali au kataa ofa.
- Pata nguvu zaidi katika maelewano ya bei.
- Chagua ofa inayokidhi vigezo vyako.
- Ni BURE kabisa—hauhitaji kutumia pesa wala kufanya mawasiliano marefu.

NJIIMNET inakuunganisha moja kwa moja na wanunuzi, wauzaji, na waagizaji wa magari, huku ikihakikisha uwazi na kurahisisha mchakato mzima.
Show More
Show Less
More Information about: NJIIMNET
Price: Free
Version: 3.1.1
Downloads: 500
Compatibility: Android 6.0
Bundle Id: africa.olorok.njiimnet
Size:
Last Update: Nov 12, 2024
Content Rating: Everyone
Release Date: Nov 12, 2024
Content Rating: Everyone
Developer: Olorok Tech


Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Hide