Nyimbo Mpya ni app itakayo kusaidia kupata nyimbo mpya kwa urahisi na haraka. App hii ni ambayo itakusaidia kuwaze kupata nyimbo zote mpya kwa haraka unachotakiwa kufanya ni kutafuta jina la nyimbo au msanii.
Kupitia App Hii Utapata habari fupi za Wasanii na Nyimbo zao Mpya na Video zao Kila zinapotoka Tutakutumia Notification.
Download Nyimbo mpya Zote,Bongo Fleva & Hip hop.