Naagiza China ni App inayowezesha kununua , kuagiza bidhaa / mzigo, moja kwa moja nchini China kwa bei poa ya kiwandani au ya soko la kimataifa, Naagiza China App inawezesha kununua mzigo wa jumla au rejareja online bila wasiwasi na bila kutumia madalali, Naagiza China imedhamiria kukuwezesha kupata bidhaa kwa bei poa, unaweza kuagiza simu, computer, ipad, nguo, viatu, vyombo vya kupikia, mapambo nk.