Pata Habari mbalimbali kutoka nchini
Tanzania na nje ya Nchi zinazo muhusu Rais
Magufuli Pamoja na videos za Speech mbalimbali za Raisi.
App hii pia inakupa
Habari za Kisiasa
Habari za Kitaifa
Habari za Afrika mashariki
Habari za Afrika.
Kupitia App hii utaweza kujulishwa kwa alarm kwa kila Habari mpya inayo wasili nchini Tanzania.
pia utaweza kufanya Uchambuzi wa Habari mbalimbali Katika ukurasa wetu wa Uchambuzi
Ambako utakutana na watanzania wengine kutoka
pande mbalimbali za Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Download App hii sasa kupata kila habari inayo wasili Tanzania sasa.