Ukiwa na app hii ya Life With Muhasu, utaweza kuperuzi blog yetu ya LifeWithMuhasu.com kwa urahisi zaidi na moja kwa moja kwenye kifaa chako (Simu au Tablet).
- Utawaza kusoma makala zetu zote (Mchanganyiko na za Biashara)
- Utaweza kusoma Dondoo
- Utaweza kusikiliza vipindi vyetu vya sauti (Life With Muhasu Podcast)
- Utaweza kupitia vipindi vyetu vya Video
- Utaweza kupitia Huduma Zetu muhimu
- Pia utaweza ku acha maoni yako, kuuliza maswali, nk.
Karibu!