Baraka sonko Electronics ni program ya Matangazo ya Biashara yanayo fanyika kwa lugha ya kiswahili. Kupitia program hii, unaweza kuagiza bidhaa kisha kulipia baadae.
NI RAHISI
Pakua program hii kisha fungua account yako ambayo itakuwezesha kuanza kuchagua na kuagiza kulingana na mahali unakopatikana
NI YA KISASA
Program hii imeboreshwa na wakati wote ni rafiki na rahisi kutumia. tumia program yetu sasa kutafuta vifaa vya umeme kama spika, Maiki, Subwoofer, Vinanda na vinginevyo