Auto Match ni app mahiri inayokusaidia kupata Gari lako unalotaka kwa haraka na kwa urahisi!
Ikiwa unatafuta Gari jipya au Gari lililotumika, Auto Match inakuunganisha na wauzaji na mawakala wanaoaminika nchini Tanzania.
? Sifa Muhimu:
✅ Tafuta Gari Mpya & Lililotumika – Pata Gari bora kulingana na bajeti, chapa, na mahitaji yako.
✅ Nunua & Uza Gari – Unganisha na wauzaji wa Gari wanaoaminika moja kwa moja kupitia app.
✅ Chaguo Binafsi – Ingiza bajeti yako, chapa ya Gari, na vigezo vingine, upate mapendekezo bora.
✅ Mawakala & Madalali wa Kuaminika – Pata wauzaji wa Gari waliohakikiwa Tanzania.
✅ Usalama wa Data – Maelezo yako binafsi yako salama; hatugawanyi na mtu mwingine.