Soka Letu - Usajili  Tetesi
Install Now
Soka Letu - Usajili Tetesi
Soka Letu - Usajili  Tetesi

Soka Letu - Usajili Tetesi

Soka Letu Tanzania, Tetesi na Usajili ndani na nje ya Bongo

Developer: Smart inc
App Size:
Release Date: Jun 21, 2023
Price: Free

Screenshots for App

Mobile
Tazama Soka Biriani Live.
Pata tetesi zote za usajili Tanzania na Ligi zote kubwa duniani.

SOKA LETU App inakuletea Kigangani Mwako Nafasi za Kazi kila siku, Makala Mbali mbali za ndani na nje ya Tanzania Pamoja na Kutazama Ratiba na Matokeo ya Ligi zote Duniani, Matokeo ya EPL, Matokeo ya Bundesliga, Matokeo ya Seria A, Matokeo ya La Liga, Matokeo ya League 1, Matokeo ya NBC Premier League.

Ukiwa Soka Letu Habari App utaweza kutazama Matokeo ya moja kwa moja (Live Updates) wakati mechi zinaendelea za Simba na Yanga kwenye Ligi Kuu na kwenye michezo ya CAF Champions League na CAF Confederation Cup, ratiba ya CAF Champions League, ratiba ya CAF Confederation Cup, ratiba ya Simba SC, ratiba ya Yanga SC.

Soka Letu App pia inakuleta Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Wafungaji Bora, Makipa Bora, Wachezaji Bora, Vikosi vya Simba na Yanga, ratiba za Simba, Yanga na Azam FC, Matokeo ya Simba SC, Matokeo ya Yanga, ratiba ya Bundesliga, ratiba ya EPL, ratiba ya Seria A, ratiba ya League 1, ratiba ya La Liga.
Show More
Show Less
More Information about: Soka Letu - Usajili Tetesi
Price: Free
Version: 1.0
Downloads: 100
Compatibility: Android 5.0
Bundle Id: com.HabariZote.SokaLetuTz
Size:
Last Update: Jun 21, 2023
Content Rating: Everyone
Release Date: Jun 21, 2023
Content Rating: Everyone
Developer: Smart inc


Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Hide