Je wewe ni shabiki damu wa Yanga Sc ya Kimataifa? Kama jibu ni NDIO basi Tunakukaribisha Sana ndani ya Yanga Mpya Lite utaweza Kusoma habari zote za timu yako vilevile kuchangia mawazo ili kuhakikisha timu yetu pendwa inafika mbali zaidi nakuzidi kuandika rekodi mpya kila msimu. Yanga Mpya Lite ni App Yako wewe Shabiki wa Yanga Sc jivunie kisha waalike na Wenzako.