Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika
Install Now
Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika
Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika

Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika

Jifunze kupika vyakula vya aina mbalimbali vyenye asili ya Kiafrika.

Developer: Afrotech Studios
App Size: 8.8M
Release Date: Dec 11, 2019
Price: Free
4.3
49 Ratings
Size
8.8M

Screenshots for App

Mobile
Chef Mapishi - Tunalenga kufundisha jinsi ya kutayarisha vyakula na vinywaji vya aina mbalimbali. Tumejikita zaidi kwa aina ya vyakula vinanavyopendwa sana jamii za Kiafrika.

Tunafundisha namna ya kutayarisha vyakula vikuu, vitafunio, vitoweo, vinywaji na supu. Tunatumia lugha ya Kiswahili kuwasilisha mada na mafunzo yetu katika App yetu.

Ikiwa wewe ni mpishi na unapenda kujifunza zaidi kuhusu mapishi ya vyakula vya Kiafrika basi Chef Mapishi ni sehemu sahihi kujifunza.

Unaweza kuwashirikisha wenzio kwa kuwatumia App yetu au jina yaani "Chef Mapishi" na wao wajifunze mapishi ya Kitanzania na Afrika kwa ujumla.

Jiunge kwenye Grupu la Telegram kwa kutuma ujumbe kwenda namba hii.

Telegram - (+255) 0738265492
Email - [email protected].
Show More
Show Less
More Information about: Chef Mapishi - Tujifunze Mapishi ya Kiafrika
Price: Free
Version: 1.0.3
Downloads: 5000
Compatibility: Android 4.1 and up
Bundle Id: com.afrotechstudios.chefmapishi
Size: 8.8M
Last Update: Dec 11, 2019
Content Rating: Everyone
Release Date: Dec 11, 2019
Content Rating: Everyone
Developer: Afrotech Studios


Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Hide