Unatafuta kazi? Ajira Faster ni programu ya kuaminika inayokusanya nafasi mpya za kazi kutoka vyanzo mbalimbali vya ajira mtandaoni, kama tovuti za ajira, mitandao ya kazi ya binafsi, na matangazo ya kampuni mbalimbali nchini Tanzania.
Tuma maombi kwa haraka kupitia WhatsApp au Email bila usumbufu!
Sifa Kuu za Ajira Faster:
Tuma maombi kwa WhatsApp au Email moja kwa moja
Pokea arifa za ajira mpya (job alerts) kila siku
Ajira kwa graduates, freshers, freelancers na watu wenye uzoefu na wasio na uzoefu
Chuja kazi kwa mikoa, sekta, au aina ya ajira (Online/Offline)
Muonekano rahisi, matumizi mepesi, na bila matangazo ya kusumbua
Aina za Ajira Unazoweza Kupata:
Ajira za Elimu & Ualimu
Ajira za Afya & Uuguzi
Uhasibu, Fedha & Utawala
Mauzo & Masoko
IT & Teknolojia ya Habari
Udereva & Ujenzi
Ajira za NGOs, na Makampuni Binafsi
Ajira za muda (part-time) & za kudumu (full-time) yani, ajira kwa wote, ajira zote. waliosoma na wasiosoma.
? Angalizo Muhimu:
Hatuchukui malipo yoyote kupata kazi. Ajira zote zinatoka kwenye vyanzo vya kuaminika. Tafadhali epuka mtu yeyote anayekuomba malipo ili upate kazi.
Ajira Faster haina uhusiano wowote na taasisi za serikali.
Pakua Ajira Faster sasa na uanze kutuma maombi ya kazi kwa haraka, kwa urahisi, na bila longolongo. Ajira sahihi mkononi mwako.