Tamu Tamu ni app ya burudani yenye mkusanyiko wa maudhui ya Kiswahili kama simulizi, visa, hadithi fupi, mashairi, mafundisho na makala mbalimbali. Lengo kuu ni kutoa usomaji wa kuvutia, rahisi na wa haraka kwa watumiaji wote wanaopenda maudhui ya lugha ya Kiswahili.
App hii haitumii mfumo wa akaunti, hivyo hutakiwi kujisajili wala kutoa taarifa zako binafsi ili kufurahia yaliyomo. Unafungua tu na kuanza kusoma papo hapo.
Vipengele Muhimu:
📚 Simulizi mbalimbali za kuvutia
✍️ Hadithi fupi na visa
📝 Makala na masimulizi ya kila siku
🌙 Mode ya usomaji rahisi & Dark Mode
🔎 Utafutaji wa chapisho kwa urahisi
💾 Hakuna kujiandikisha – tumia mara moja bila akaunti.
Tamu Tamu imeundwa kwa ajili ya msomaji wa Kiswahili anayetaka burudani, elimu na usimulizi murua katika sehemu moja.
Pakua sasa na uanze safari ya kusoma maudhui matamu kila siku!