Ukiwa na App hii Ya Sayari Ya Mapenzi utapata:
-SMS za mapenzi za usiku
-SMS za mapenzi za vichekesho
-SMS za mapenzi za kuomba msamaha/Sorry
-SMS za mapenzi za kutongoza
-SMS za mapenzi za asubuhi
-SMS za urafiki
-SMS za maisha
-SMS za siku ya wajinga
-SMS za valentine
-SMS za birthday
SMS za graduation
-SMS za sikukuu/matukio mbalimbali kama mwaka mpya,EID,Christmass
-Quotes/Nukuu za maisha,ujasiri,mafanikio,furaha,huzuni,kuachana,ndoa,mahaba,uchumba
ZAIDI:
Unaweza kukopi na kushea SMS za mapenzi na mpenzi wako,ndugu jamaa na marafiki kwa kupitia mitandao ya kijamii kama facebook,twitter,instagram,watsapp,meseji za kawaida n.k