Pata SMS ZA Mapenzi za kumwandikia mpenzi wako leo. Ukitaka kumwandikia meseji tamu za kumjulia hali asubuhi au wakati anapoenda kulala. SMS ZA Usiku pia zipo, ukiwa wataka kumwandikia SMS mpenzi wako usiku, basi utazipata kwenye app hii.
Ikiwa unatafuta SMS ya aina yeyote, unaweza kusearch kwa kubonyeza ile icon ya search. Utapata mwelekeo mzuri na uweze kupata zile sms yoyote unayotafuta kwenye results.
Nakutakia kila la heri unapotumia app hii. Asante!