Beco Hadithi ni App inayokuletea simulizi za kusisimua na kukuelimisha kila siku.
App hii ina sifa zifuatazo:-
. 1. Inafunguka kwa urahisi
2. Ina sehemu ya kutoa maoni yako
3. Unaweza ukasoma simulizi bila mtandao endapo utazihifadhi sehemu maalum
4. Inatumia data kidogo na sifa nyingine nyingi.