Magazeti ya Leo Tanzania – Habari na Michezo ni app ya kitanzania inayokuwezesha kusoma magazeti ya leo kutoka Tanzania na duniani. Ikiwa na muonekano rahisi kutumia, app hii inakuletea habari za Tanzania, taarifa za kisiasa, kijamii, kibiashara, burudani na michezo Tanzania kwa wakati halisi.
Kwa kutumia Magazeti ya Leo Tanzania, hupati tu habari za haraka bali pia unapata fursa ya kuchagua gazeti unalolipenda. Hutahitaji tena kupitia tovuti nyingi tofauti – kila kitu kipo pamoja kwenye simu yako.
Magazeti ya Leo: Soma magazeti maarufu kila siku
Habari za Tanzania: Usiwe nyuma kwenye taarifa za kitaifa na kimataifa.
Burudani na Maisha: Habari za mastaa, mitindo, na burudani zinazotrend.
Kwa Nini Utumie Magazeti ya Leo Tanzania?
Inakuletea habari za Tanzania na kimataifa kila siku bila kupitwa.
Unaweza kusoma magazeti ya leo yote ukiwa popote, muda wowote.
App ni nyepesi, rahisi kutumia na inasoma kwa haraka.
Habari mpya huongezwa kila siku moja kwa moja kutoka kwenye vyanzo vya kuaminika.
Unaweza kushiriki habari unazozipenda kupitia WhatsApp, Facebook na mitandao mingine ya kijamii.
Kwa hiyo, kama unataka kufahamu yanayoendelea nchini na duniani, bila kukosa habari za michezo, habari za kwenye Magazeti ya Leo Tanzania
Pakua sasa Magazeti ya Leo App na uwe karibu zaidi na habari za Tanzania pamoja na michezo Tanzania kila siku.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia email
[email protected]