Kilimo bando APP
Install Now
Kilimo bando APP
Kilimo bando APP

Kilimo bando APP

KILIMO BANDO ni mfumo wa kidijitali unawezesha wakulima kupata huduma mbalimbali

Developer: Bizy Tech Limited
App Size:
Release Date: Aug 27, 2024
Price: Free
Price
Free
Size

Screenshots for App

Mobile
KILIMO BANDO ni jukwaa la kidijitali linalolenga kuboresha maisha ya wakulima wadogo na biashara ndogo na za kati za kilimo (ASMEs) katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Kupitia KILIMO BANDO , wakulima wanaweza kufurahia huduma mbalimbali kama vile:

1) Kilimo Akiba: Huduma ya kuweka akiba kwa ajili ya pembejeo za kilimo kupitia simu za mkononi au mawakala wa benki. Hii inawasaidia wakulima kupanga na kujiandaa kwa msimu wa kilimo.

2) Kilimo Mkopo: Ushirikiano na taasisi za kifedha kutoa mikopo kwa wakulima ili waweze kuwekeza kwenye mashamba yao na kuongeza uzalishaji.

3) Kilimo Bora: Elimu ya ugani kuhusu agronomia, afya ya udongo, na ushauri wa matunzo ya mazao kabla na baada ya mavuno. Hii inasaidia wakulima kuongeza tija na ubora wa mazao yao.

4) Bima ya Mazao : Huduma ya bima inayolenga kusaidia wakulima kukabiliana na majanga au matatizo yanayoweza kuathiri uzalishaji, kama vile ukame au mafuriko.

Kwa kutumia teknolojia ya malipo ya kidijitali, KILIMO BANDO inahakikisha miamala salama na inajumuisha wakulima katika mfumo rasmi wa kifedha. Jiunge na KILIMO BANDO leo na uanze safari ya kuboresha kilimo chako na maisha yako!
Show More
Show Less
More Information about: Kilimo bando APP
Price: Free
Version: 1.4.0
Downloads: 1000
Compatibility: Android 7.0
Bundle Id: com.bizytech.kilimobando
Size:
Last Update: Aug 27, 2024
Content Rating: Everyone
Release Date: Aug 27, 2024
Content Rating: Everyone
Developer: Bizy Tech Limited


Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Hide