App bomba inayokuwezesha kupata nyimbo mpya za wasanii wa Tanzania, unaweza shea nyimbo zako pamoja na vichekesho.
Nyimbo mpya kutoka WCB( Diamond platnumz, Zuchu, Rayvanny, Mbosso na wenzake), Konde Gang (Harmonize, Ibra na wenzake)
Pia tunatoa promotion ya nyimbo za wasanii wachanga.
The story book kutoka Wasafi TV inatumwa kila siku
Show More
Show Less
More Information about: Bongo Media - Nyimbo Mpya, Vichekesho Mtukio