App hii inakupa habari moto moto za Yanga Sports Club kutoka vyanzo mbali mbali vya habari kama, mitandaoni, magazetini, redioni, na vyombo vya habari rasmi vya Yanga Sports Club. Kuwa wakwanza kupata habari ukitumia app hii kwasababu ya ubora wa uhakiki na utoaji habari wa app yetu.