Nyimbo za Kikristo ni app ya kikristo inayokuletea mkusanyiko wa nyimbo za sifa na ibada na maombi kwa dini Kikristo, tenzi za rohoni na nyimbo za injili kwa Kiswahili. Ukiwa kanisani, nyumbani au safarini, app hii inakusaidia kukaa karibu na Mungu kupitia muziki na ibada.
Kuimarisha Imani Kupitia Sifa na maombi
Muziki ni njia yenye nguvu ya kumkaribia Mungu. Kupitia Nyimbo za Kikristo, unaweza kupata nyimbo za injili zinazokutia moyo katika maombi, ibada na kushirikiana na wengine.
Ndani ya App Utapata:
-Mkusanyiko wa nyimbo za Kikristo kwa Kiswahili
-Maneno ya nyimbo za sifa na kuabudu
-Nyimbo za rohoni kwa ibada, kwaya na maombi binafsimpangilio wa Nyimbo yaani 1-121 na 122-221
-Yanafaa kwa watu wa rika zote
Kwa Nini Utumie Nyimbo za Kikristo?
Ni app nzuri ya kusaidia kukuza imani kupitia muziki wa injili.
Kumbuka:
Nyimbo za Kikristo ni app ya kujifunza na kujenga imani kupitia nyimbo. Haina uhusiano rasmi na kanisa au dhehebu lolote. Nyimbo na maneno yake yametolewa kwa ajili ya malezi ya kiroho na matumizi binafsi.