Siri za Wanaume ni App pekee inayokupa wewe mwanamke siri za kimapenzi za wanaume, zijue siri mbalimbali za wanaume unazotaka kuzijua kupitia App hii, vijue vitu ambavyo huwapagawisha wanaume wamwonapo mwanawake!, zijue sababu za wanaume kuvutiwa , mambo ambayo wanaume wanapenda kufanyiwa kwenye mapenzi, wanaume wanapenda mwanamke wa aina gani na siri zote zinapatikana kupitia App hii.