Wamachinga app ni mfumo unamuwezesha mfanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama machinga kwa Tanzania kuweza kujisali katika vikundi vya kijasiriamali vinavyotambulika na kuweza kunufaika na fursa mbalimbali za kibiashara na kimaisha kwa ujumla.
Show More
Show Less
More Information about: Wamachinga Chinga Ujasiriamali kiganjani