dar racing ni game ilio tengenezwa na vijana wa kitanzania ikiwa inakupa uweo wa kucheza game ya kuendesha gari huku ukijikusanyia point ambazo zitakufanya uweze kununua magari mazuri zaidi yenye nguvu na ushindani mkubwa kwenye game.
kusanya point zaid fungua nafasi zaidi ya kushinda.
unaeza tusaport kwa kununua paid version kwa shilingi 2700 kwa kwenda kwenye search box na ku search dar racing. karibu
a racing game you have been looking for. You drive your car in cockpit view through the endless traffic and realistic environment. Tilt your device to drag your car wherever you want, overtake traffic, earn coins and buy new cars.
Features
- Easy to learn and drive
- 3D realistic cockpit view
- Endless game mode
- Different locations and cars to choose
- Simulator-like controls