Duka App - Nunua Online, Shopping Mall
Install Now
Duka App - Nunua Online, Shopping Mall
Duka App - Nunua Online, Shopping Mall

Duka App - Nunua Online, Shopping Mall

Duka App ni platform maalum inayokuwezesha kununua bidhaa yoyote.

Developer: Duka Inc
App Size: 11M
Release Date: Jan 30, 2020
Price: Free
4.5
32 Ratings
Size
11M

Screenshots for App

Mobile
Duka app ni nini?
Duka App ni platform maalum inayokuwezesha kununua bidhaa yoyote moja kwa moja kutoka soko lililo karibu yako na kutoka China moja kwa moja.

Duka App itakuwezesha kununua bidhaa moja kwa moja kutoka sokoni au dukani au supermarket zilizo karibu.Pia Duka App imekusanya wafanya biashara mbalimbali kutoka China wenye uwezo wa kuuza bidhaa mbalimbali ndani ya Tanzania.


Duka App ni kwa ajili ya nani?
a. Mkazi yeyote wa Tanzania.
b. Mfanyabiashara mdogo na mkubwa, wa jumla na reja reja.
c. Mtanzania yeyote anayehitaji bidhaa yoyote kutoka China na Ndani ya Tanzania.

Nawezaje kutumia Duka App?
Hatua zifuatazo ni kwa ajili ya bidhaa zilizo karibu nawe:
1. Sign up au jisajili kwa njia ya namba ya simu.
2. Chagua Bidhaa uitakayo na pia muuzaji kisha bofya Buy au Kapuni.
3. Kama ni kapuni basi utazipata bidhaa zote ulizoweka kapuni.
4. Chagua idadi kisha confirm.
5. Weka anuani / address ya mpokeaji na kisha confirm order.
6. Hapo utakua umeshakamilisha manunuzi, Subiri ndani ya saa 5 utapokea mzigo wako kisha utalipia na kusign kuwa umepokea mzigo.

Fuata hatua zifuatazo kununua kutoka China au mbali na eneo ulipo:
1. Download/Pakua Application hii kwenye simu yako ya mkononi.
2. Fungua Application yetu na utafute bidhaa yoyote unayohitaji.
3. Kwa kila bidhaa utakayoipenda, utakuta maelezo ya bidhaa na muuzaji.
4. Unaweza kununua au kupata maelezo zaidi kwa kuwasiliana na muuzaji kwa njia moja wapo ya hizi:
• WhatsApp
• Instagram
• WeChat
• Facebook
• Twitter
• Phone call


DUKA APP – KWA MAHITAJI YAKO YA KILA SIKU
Show More
Show Less
More Information about: Duka App - Nunua Online, Shopping Mall
Price: Free
Version: 1.3.1
Downloads: 1000
Compatibility: Android 4.1 and up
Bundle Id: com.dukaapp
Size: 11M
Last Update: Jan 30, 2020
Content Rating: Everyone
Release Date: Jan 30, 2020
Content Rating: Everyone
Developer: Duka Inc


Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Hide