Karibu kwenye app ya nyimbo za injili, App hii inakupa mkusanyiko wa nyimbo za Injili kwa ajili ya ibada,misa, maombi, na kuinua na kukuza kiroho.
Kupitia app hii, utaweza kufurahia nyimbo mbalimbali za kumsifu na kumwabudu Mungu kutoka kwa wasanii mbalimbali wa nyimbo za Injili. pamoja na nyimbo kutoka katika vitabu vitakatifu vya sala na maombi
Pakua app ya nyimbo za injili/Dini sasa na uanze kusikiliza nyimbo za Injili leo.