jipatie idea mpya za biashara zenye faida tanzania na nje ya tz! pata ushauri wa kitaalamu kuhusu masuala ya biashara.
App hii inahusisha wajasiriamali, wafanya biashara ndog ndogo wenye ndoto za kukuza biashara na kuongeza faida katika soko hili la sasa ambalo limejaa ushindani!