BongoMeme ni app pekee inayokuletea Vichekesho, Vituko na Video za Vunjambavu kwenye simu janja yako kwa mtindo wa kijanja na usiochosha kizembe.Ndani ya app ya BongoMeme kuna Vichekesho toka kwa wasanii maarufu kama Joti,Mzee Majuto,Mkaliwenu,Ebitoke,Mpoki,Masanja,MC Pilipili,Kingwendu,Bambo,Katarina wa Karatu,Madenge,Mkude Simba,Bwakila,Mau,Kinyambe na wengine kibao vinapatikana hapa..!
? HATUJAMALIZA BADO ?
Achana na App za kiboya za vichekesho ndani ya app una uwezo wa kudownload chochote na kupost kichekesho chochote kupitia profile account yako Videos, Memes, Funny Pictures, Quotes na mazagazaga mengine kibaooo ?
? LAKINI PIAAAA ?
Pata Vichekesho vya mfumo mbalimbali wa kijanja....ulijua ni video za vichekesho tuuu?...... Utafeli weweee ??? check list nzima chini: ??
? VIDEO ZA VICHEKESHO, VITUKO, VUNJAMBAVU ?
Segment hii unapata video zote kali na za kucheckesha zinazobamba mitandaoni nje na ndani ya taifa la bongo kama: Mkali wenu, Joti, Mpoki, Jalal Brothers, Kingbach, Logan Paul, Mkude simba, Bwakila, masanja,Jaymondy, Dullvanni, Ebitoke, Anko Zumo, Katarina wa Karatu....na Funny Videos nyingine kibao kama:
?- Vichekesho Vya Anko Zumo
?- Vichekesho Vya Joti
?- Vichekesho Vya Stan Bakora
?- Vichekesho Vya Ebitoke
?- Vichekesho Vya Dullvanni
?- Vichekesho Vya Jaymondy
?- Vichekesho Vya Mkali Wenu
??? Na Udambwi Udambwi mwingine kibaaaaoo wa motoooo ???
? PICHA ZA VICHEKESHO {BONGO MEME} ?
Ndani ya picha za vichekesho | vituko | vunjambavu unapata mkusanyiko wa memes za kuwafurahisha friends kwenye status mitandaoni kwa urahisi. Chap bila zengwe daka memes toka kwa wakali wa IG kama Mr.Misifa,Abuu Maujanja, Ally Muzungu, Bongo Katuni, Daquan na wengine kibao......check meme kama:
?- Vichekesho Vya Mr.Misifa
?- Vichekesho Vya Abuu Maujanja
?- Vichekesho Vya Ally Muzungu
?- Vichekesho Vya Bongo Katuni
?- love memes
?- relationship memes
?- new memes
?- popular memes
MAIN BONGOMEME VIDEOS FEATURES:
★Uwezo wa ku download videos, memes, quotes, gif files
★Share kama status kwenye mitandao ya kijamii
★Uwezo wa kutumika kama Status saver
★Matangazo machache
★Haitumii bundle kubwa i.e video ni fupi
★Tumia Bila Bundle i.e angalia saved videos
★Muenekano mzuri na wa kijanja
DISCLAIMER:
We do not own or host any of these Images, SMS or videos. They are publicly available for everyone on YouTube and other Content Sharing Sites.