HALA App ni teknolojia inayokusaidia kupata gharama za ujenzi kiganjani mwako katika maeneo yafuatayo;
• Gharama za ufundi wakati wa ujenzi wa nyumba (Labour Cost);
• Maombi ya kutengenezewa gharama za ujenzi pamoja na kujengewa (Request for Cost of construction and House Construction);
• Kutengeneza mcahanganuo wa gharama za ujenzI (Bills of Quantities (B.O.Q);
• Kujua bei ya soko ya vifaa vya ujenzi (madukani) kwa kila mkoa (Market Price for Construction Materials);
• Kanuni za jinsi ya kupata Quantity za ujenzi wa nyumba (Measurement of Quantities for building Works);
• Kupata idadi ya vifaa vinavyohitajika wakati wa ujenzi wa nyumba (Schedule of Materials); na
• Kutengeneza bei za kujaza kwenye zabuni za ujenzi (Build up Rate from First Principle).