Utundu wa Mapenzi App ni app yenye maudhui ya Lugha ya Kiswahili inayolenga kukupatia ewe msomaji elimu mahususi inayohusu masuala ya Mahusiano. Kupitia hii App utajifunza mambo kadha wa kadha kuhusu mahusiano kama vile:
* Namna ya kuishi vema na mwenzi wako
* Namna sahihi ya kutafuta mwenzi
* Jinsi ya kutatua migogoro inayotokea katika familia
* Namna ya kudumisha na kuboresha penzi
* Staili mbalimbali za tendo la ndoa
* Miiko na makatazo ambayo ni sumu katika mahusiano
*N.K
Dumisha mahusiano yako kwa kupata elimu mahususi juu ya mahusiano kupitia application yako kabambe ya "KIJIWE CHA MAHUSIANO" kila saa. Jifunze kiundani juu ya mambo kadha wa kadha yanayohusu mahusiano kama vile;
* Mambo ya Kitandani
* Kutongoza
* SMS nzuri za Mapenzi
* Masuala ya wanawake
* Masuala ya wanaume, n.k
Andikia mpenzi wako meseji moto moto za mapenzi kutoka app hii itakayokupa meseji hizo. SMS hizi zitafurahisha mpenzi wako na kuleta furaha zaidi katika mapenzi yenyu. Hauhitaji mtandao ili kutumia app hii, sms hizi zinaletwa kwako bure ukisha download hii app.
Chambua zile message moto kabisa zinazokufurahisha na umstue mpenzi wako na hizi meseji zitakazomfurahisha sana. Meseji hizi hutazipata kwingine ile kwenye app hii. Service hii inaletwa kwako bure bila malipo yeyote, hauhitaji kuwa na account yeyote ili kuweza kutumia hii app, ukisha download utapata kila kitu bila kizuizi yeyote.
Usisite kumshirikisha app hii na rafiki ili aweze kuongeza ufahamu wake kwenye masuala ya mahusiano.