Sema Na Mahakama ni mfumo wa Kutuma,kupokea na kufatilia malalamiko,mapendekezo,maoni na pongezi.Sema Na Mahakama inakurahisi kufuatilia mrejesho wa lalamiko ulilotuma.Sema Na Mahakama ni mfumo sahihi kwa kufuatilia kwa wepesi aina ya taarifa uliyotuma.