Jipatie mahitaji yako ya dukani kwa bei za jumla na utafikishiwa ulipo. Mfumo wetu wa mtandao unakuwezesha kuagiza bidhaa mbalimbali za madukani kwanjia rahisi kabisa bila kuhangaika kutufata tulipo. Baadhi ya bidhaa tunazo uza ni MAJI, SODA, SABUNI, SIGARA, PIPI, JUISI, UNGA na vingine vingi.