Lavidavi ni kipindi kizuri cha mapenzi kinachoendeshwa kupitia redio yako pendwa ya wasafi fm kila siku kuanzia jumatatu hadi ijumaa saa nne kamili usiku na kuendeshwa kikamilifu na mtangazaji wako Divah the Boss. Fuatilia mikasa ya kusisimua, story za mapenzi, maisha, mikimiki katika mahusiano na mambo mengi yatakayokujenga au kujenga mahusiano yako wewe na mweza wako! Furahia Ala za roho, ushauri wa kimahusiano n.k katika hiki chumba cha siri (kijiwe cha mapenzi)