Utapata sms tamu za kutumia mpenzi wako kwenye app hii. Ukitaka kumtongoza msichana yeyote mrembo, tumia sms moto kwenye app hii kumhadaa. Utaweza kumpendeza mpenzi wako kwa maneno matamu ya kumtoa nyoka pangoni.
Pata Simulizi za mapenzi Kiswahili. Tumia jukumu huu kupata meseji zenye utani mkali za kumchekesha mpenzi wako. Tumia sms hizi kila wakati unapomwandikia mpenzi wako ujumbe mfupi. Utaongeza ladha kwenye ujumbe wako kwa kutumia sms hizi moto zenye maneno matamu sana za mapenzi.
Ikiwa unataka meseji za kumbukumbu ya siku mliopatana au ya ndoa, app hii iko sms kamili ya kumwandikia mpenzio. Kuna sms za siku ya kuzaliwa pia, meseji ya kumwandikia mpenzi wako kwa siku aliyozaliwa. Isitoshe, Kuna meseji tamu za kumwandikia mpenzio iwapo mmekosana, sms hizo zitampea maana ya kukusamehe. Ukitaka kumwambia mwenzio jinsi unavyomkosa, basi tunazo hizo meseji kwa wingi.
Natumahi yakuwa umepata app ambayo umetafuta kwa muda.
Asante kwa kutazama page yetu!