Soma Habari zote za soka na Michezo kitaifa na kimataifa.
Habari za kimichezo kutoka nchini Tanzania na habari za nje ya nchi kote huko habari zake utazipata katika app hii bora ya michezo pia historia za kimichezo makala na uchambuzi wa mechi pia huwa zinatolewa odds hivyo ukiitumia vyema app hii unàweza ukawa unapiga mkwanja mzuri katika kubeti.
Habari zote za Simba,Yanga na Azam hazikosekani kabisa katika app hii na hata tetesi zote za usahiri zinatolewa hivyo kukufanya wewe Mwana Michezo kupata kujua zaidi kuhusiana na michezo.
Pata Habari za michezo kila siku kiurahisi zaidi, Ligi kuu Tanzania NBC, UEFA, EPL, Matokeo ya Michezo ya soka Tanzania na Barani Ulaya, Tetesi zote za Usajili, Uhamisho, Uchambuzi wa Soka.
Habari zote za Michezo na burudani Kitaifa na Kimataifa kila siku kwa urahisi
App ya Soka Letu inakuunganisha na habari motomoto kuhusu Ligi Kuu Tanzania na soka la ulaya kwa ujumla.
Soka letu - Habari za michezo kila siku kupitia App hii utakuwa wa kwanza kuhabarika na kuburudika na habari kedekede kuhusu mpira wa miguu,Afrika na Dunia kwa Ujumla
michezo yote ya lligi kuu Tanzania na timu kama vile Ligi Kuu Tanzania Bara : Live match scorers and standings
Soka Leo ni app maalumu kwa kuhabarisha wapenzi wa habari za kimichezo kutoka nchini Tanzania lakini hata kwa habari za nje ya nchi kote huko habari zake utazipata katika app hii bora ya michezo pia historia za kimichezo makala na uchambuzi wa mechi pia huwa zinatolewa odds hivyo ukiitumia vyema app hii unàweza ukawa unapiga mkwanja mzuri katika kubeti.
Soka letu - Habari za michezo kila siku - Habari zote za Simba,Yanga na Azam hazikosekani kabisa katika app hii na hata tetesi zote za usahiri zinatolewa hivyo kukufanya wewe Mwana Michezo kupata kujua zaidi kuhusiana na michezo.
Angalia mechi zote za Ligi Kuu Tanzania (Live) na Usome
Habari zote Kuhusu Michezo Duniani kupitia App hii.
Pata habari zote kali kuhusu Soka la Bongo kupitia App hii ya Soka letu - Habari za michezo kila siku ambapo inakuunganisha na habari zote kuanzia za usajili,mechi na matukio muhimu yanayoendelea katika soka la Tanzania kwa msimu mzima wa ligi kwa ngazi zote.
Pamoja na Habari kubwa kutoka katika magazeti ya michezo nchini kama.
Mwanaspoti
Championi
Mwana Michezo - ukiwa na app hii itakufanya uwe wa kwanza kufahamu mambo yanayohusu soka letu la ndani kama ifuatavyo;-
- Ligi kuu Tanzania VPL, pia na UEFA, na EPL,
- Msimamo wa VPL
- Matokeo ya Michezo ya soka Tanzania na Barani Ulaya,
- Tetesi zote za Usajili,
- Uhamisho wa wachezaji,
- Uchambuzi wa Soka,
- Mshikemshike viwanjani,
- Dondoo za michezo
- Vitasa n.k