Makala ni programu inayosaidia watu kujifunza biashara mbalimbali zinazo kutokana na fani na projekti za tehama namna ya kuunda na kufanya kuwa fursa kwako na kuongeza kipato na kubadilisha maisha yako kwa ujumla.
Katika programu hii uta jifunza namna ya kufanya biashara kwa kutumia mitandao ya kijamii kama instagram na facebook.
Pia utajifunza namna ya kuvuta wateja wa mpinzani wako na kuwafanya wateja wako wa kudumu na kukuza biashara yako na kubadilisha maisha yako kwa ujumla.
Kwenye programu hii uta jifunza zaidi kutumia instagram kama njia ya kutangaza matangazo yako ya biashara na kubadilisha followers na kuwa wateja wako wa kudumu.
Lengo kuu la hii programu ni kusiadia watu kufanya biashara na kujua namna ya kupata wateja na kuwa na ushindani katika soko.
Pia kujifunza kuanzisha biashara zilizopo tayari kwenye soko na kubadilisha namna ya kufanya kwa njia ya kisasa zaidi na kupata wateja wengi na kukuza biashara na kubadilisha maisha yao kwa ujumla.