PATA Live updates za ligi kuu bara na video highlights zote bila kusahau habari
App hii itakupatia mwendelezo wa matokeo ya ligi kuu soka tanzania bara na tamthilia mbali mbali za kiswahili zinazooneshwa hapa nchini kupitia azam tv.Usikose kusoma habari moto moto mara tu zinapotokea zikijumuisha habari za siasa.uchumi.michezo na matukio mbali mbali yanayotokea duniani yakiripotiwa na waandishi na watangazaji mahiri hapa nchini kupitia azamtv.kuna vyanzo vingi mno vya habari katika app hii kama vile ITV Tanzania Live Millard Ayo with BBC Swahili Dira ya Dunia
Kuchukua udhibiti wa uzoefu wako kuonyesha na Runinga vya ITV Tanzania App.It ni njia rahisi ya Fikia kwenye njia ya TV yako favorite juu ya kwenda. Usikose muda wa njia ya TV yako favorite. ikijumuisha habari za azam sports two.Ni rahisi kutumia na ni bure kutoka popote ni kwenye kifaa chako cha Android na kufurahia kutazama kutoka mbalimbali ya maarufu ya televisheni, sinema bongo, vichekesho, watoto na walio bora familia yote ndani ya maombi yako.
pata habari za burudani na michezo zioneshwazo na azam app ya zamani bila kusahau habari za udaku na mshairi yasomwayo vema na wasomaji mahiri sana hapa nchini
App Hii Inakuwezesha Kutazama Vipindi Mbalimbali Vinavyorushwa Na Televesheni Ya ITV Live. Vipindi Vinavyrushwa Ni Kama Vile.
azam two
Habari Saa Mbili Usiku
Habari Za Saa
Kumekucha Kishindo
Kipima Joto
Hapa Na Pale
Jiji Letu
Azamtv
Meza Huru
Hawavumi Lakini Wamo
Ijue Sheria
Mizengwe
Usafiri Wako
Magazeti Ya Leo n.k
Hapa Utapata Matukio ya
Kisiasa,Kuhusu CCM, Chadema na Ukawa Kwa Ujumla.
Uchambuzi wa mpira wa miguu.habari za uhakika toka azam sports hd bila kusahau habari za Magufuli,wasanii wa tanzania na Mengine mengi mazuri
Kuna mambo mazuri sana toka azam two.wanakuletea tamthilia makini na imara sana zilizotafsiriwa kwa lugha ya kiswahili na habari makini toka azam sports tv.ungana na waandishi imara na makini toka katika televisheni namba moja duniani