Mapenzi Chumbani
Install Now
Mapenzi Chumbani
Mapenzi Chumbani

Mapenzi Chumbani

Jifunze Zaidi Ufundi, ubunifu na utundu katika mapenzi na mahusiano

Developer: Bongo Media
App Size: 12M
Release Date: Mar 27, 2022
Price: Free
Price
Free
Size
12M

Screenshots for App

Mobile
Ukidownload app hii utajifunza kua mtu mwenye Maahaba na kua na Utundu Wenye Ufundi ili Upate Utamu na Kuyafaidi mapenzi

MAPENZI CHUMBANI APP- Mahali pekee utakapo jionea Mambo matamu ya chumbani Kupitia hii App pia utapata dondo mbalimbali za mapenzi & mahusiano zitakazo ku fanya kujenga na kuimarisha mahusiano yako wew na mwenza wako. Pia utapata kujua Mikasa mbalimbali kuhusu mapenzi itakayo kujenga na kuimarisha kifikra na kukupa burudani Zaidi.

MAPENZI CHUMBANI- Pia utapata hadithi mbalimbali za mapenzi itakayo kujenga na kupa burudani Zaidi mahusiano na ndoa, utundu wote wa chumbani, Siri zote za mapenzi, ushauri, simulizi Nzuri za kusisimua mbinu mbalimbali za kuboresha mapenzi.

Kupitia App hii utapata dondoo mbalimbali za mahusiano na mapenzi zitakazokusaidia kujenga na kuimarisha mahusiano yako wew na mwenza wako.

MAPENZI CHUMBANI- Ni Mahali utakapopata elimu ihusianayo na mapenzi na huku ndipo Kuna dunia ya mapenzi, sayari ya mapenzi pamoja na kijiwe swafi kwaajili ya mahusiano na mapenzi.

MAPENZI CHUMBANI- App hii ita kuwezeha kujua pia
πŸ“Œ Kumpata mpenzi
πŸ“Œ Ufundi kitandani
πŸ“Œ Mahaaba chumbani.
πŸ“Œ Simulizi tamu za mapenzi.
πŸ“Œ Ushauri wa mapenzi.
πŸ“Œ Kutongoza.
πŸ“Œ Pis Kali.
πŸ“Œ SMS Kali za mapenzi.
πŸ“Œ Siri zote za mapenzi.
πŸ“Œ Ushauri kuhusu mahusiano uchumba na Ndoa

Pia Ni app itakayo kupa burudani kama Movies & vichekesho, Miziki mipya, fashion, Habari na michezo Nnjee na Ndani ya nchi

PAKUA MAPENZI CHUMBANI- APP Hii Sasa Upate kujifunzia Mambo Mengi matamu
Show More
Show Less
More Information about: Mapenzi Chumbani
Price: Free
Version: 1.0.0
Downloads: 10
Compatibility: Android 4.4 and up
Bundle Id: com.mapenzichumbani.app
Size: 12M
Last Update: Mar 27, 2022
Content Rating: Everyone
Release Date: Mar 27, 2022
Content Rating: Everyone
Developer: Bongo Media


Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Hide