Mapenzi Konki - Elimu ya Mapenzi na Mahusiano
Install Now
Mapenzi Konki - Elimu ya Mapenzi na Mahusiano
Mapenzi Konki - Elimu ya Mapenzi na Mahusiano

Mapenzi Konki - Elimu ya Mapenzi na Mahusiano

Jifunze mapenzi ili udumishe mahusiano yako na umpendae.

Developer: MzansiDevs
App Size: 6.3M
Release Date: Jul 14, 2019
Price: Free
Price
Free
Size
6.3M

Screenshots for App

Mobile
Mapenzi Konki ni app mahususi itakayokuwezesha kupata elimu ya mapenzi, mahusiano, urafiki n.k.

Tubadilishane mawazo kuhusu mapenzi, mahusiano, urafiki, familia na kushauriana.

Utapata majibu ya maswali mengi kuhusu mapenzi na mahusiano mtandaoni;

- Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya tendo la ndoa?
- Je! Ni SMS zipi za mapenzi za kukuacha hoi ulizokutana nazo?
- Meseji zipi za mapenzi za kumtoa nyoka pangoni?
- Maneno gani matamu unayoweza kumwambia unayempenda kwa dhati?
- Ni vyakula gani vinavyoweza kuimarisha tendo la ndoa?
- Kwa nini baadhi ya vijana hawapendi kutumia kinga?
- Je kifaa cha kujisisimua kinaweza kukuzuia kufurahia mapenzi?

Jifunze maujanja zaidi kama;
- Jinsi ya kufanya tendo la ndoa na mwanamke wakati wa ujauzito.
- Makosa wayafanyayo wanaume wawapo kitandani na mpenzi mpya.
- Sehemu zenye hisia zaidi kwa mwanamke.
Show More
Show Less
More Information about: Mapenzi Konki - Elimu ya Mapenzi na Mahusiano
Price: Free
Version: 1.0
Downloads: 1000
Compatibility: Android 5.0 and up
Bundle Id: com.mapenzikonki.relationship.advice
Size: 6.3M
Last Update: Jul 14, 2019
Content Rating: Mature 17+
Release Date: Jul 14, 2019
Content Rating: Mature 17+
Developer: MzansiDevs


Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Hide