Mauzo Digital ni mfumo wa mauzo unaotegemewa na wafanyabiashara wa kisasa wanaotaka kuongeza ufanisi katika biashara zao. Ukiwa na mfumo huu, unaweza kusimamia kila hatua ya mauzo — kuanzia bidhaa, wateja hadi ripoti za faida — kwa urahisi, haraka na kwa usahihi.
Vipengele Muhimu:
Usimamizi wa Bidhaa: Sajili bidhaa zako, panga kwa makundi, na weka bei kwa haraka.
Ufuatiliaji wa Mauzo: Rekodi kila mauzo na angalia maendeleo ya kila siku, wiki na mwezi.
Taarifa za Hisa (Stock): Angalia bidhaa zilizobaki, zilizouzwa, na zinazohitaji kuagizwa tena.
Ripoti za Biashara: Pata ripoti otomatiki za mapato, faida, na bidhaa zinazotembea zaidi.
Dashboard ya Kisasa: Pata muonekano wa haraka wa mwenendo wa biashara yako kupitia takwimu za kisasa.
Usimamizi wa Wateja: Hifadhi taarifa za wateja wako kwa urahisi na fuatilia historia ya manunuzi yao.
App hii imeundwa na Netfasta Technologies, kampuni inayoongoza kwa kutengeneza mifumo ya kiteknolojia kwa biashara ndogo na za kati.
Pakua Mauzo Digital sasa, anza kuibadilisha biashara yako kuwa ya kidigitali kwa urahisi zaidi.