App hii ni maalumu katika kuku habarisha wewe mpenzi wa michezo habari mbali mbali zinazohusu michezo pamoja na tetesi mbali mbali za usajili katika soka, lakini sisi ni Michezo Etra ikimaanisha tunakupa habari za michezo na zaidi hivyo katika app hii utapata pia habari za burudani ambazo utazidi kuburudika na pia kuhabarika.