Pata habari zote za soka la Tanzania na ulaya kupitia app hii ya habari za michezo ya Tanzania na Duniani kwa ujumla. Kuwa wa kwanza kujua na kufahamu kwa undani zaidi habari za usajili wa Yanga, Simba 2023 na usajili ulaya.
Pia kupitia app hii utakua wa kwanza kujua matokeo ya mechi zilizochezwa na misimamo ya ligi za ndani na nje ya Tanzania
Developer website: https://magazetiyaleoofficial.blogspot.com
FEATURES:
• Auto update & notifications
• Swipe left/right to navigate through articles
• Podcast support: audio & video downloads
• Share articles via social media
Disclaimers:
Michezo Tanzania app is not in any way affiliated with any of the sports news websites, companies used. The content displayed in the app comes from already public Rich Site Summary (RSS) feeds of these jobs websites which retain their copyrights.