App hii imejaa maombi mbalimbali kwa ajili ya kusaidi nyakati mbalimbali za magonjwa ,shida na mauza uza, ndani ya app kuna Maombi ya kujinasua na roho za kichawi, waganga na mizimu, Maombi ya kuvunja maagano na nguvu za giza, Maombi ya kujifungua vifungo vya kishilikina , Maombi ya baraka na kufunguliwa , Maombi ya riziki na biashara
Show More
Show Less
More Information about: Sala Na Maombi ya Mafanikio