Karibu sana uweze kusikiliza nyimbo za dini zilizoimbwa na wasanii mbalimbali kutoka ndani ya nchi na nje ya nchi. Bado hujachelewa unayo nafasi nzuri ya kukua kiimani kwa kusikiliza nyimbo hizi za injili.
Pia ukiwa na app hii utapata nyimbo za kusifu na kuabudu pamoja na nyimbo za tenzi za rohoni.