App hii inakuwezesha mtumiaji kuweza kusoma maswali ya mitihani yote ya nyuma ya kitaifa (Past Papers) za madarsa yote ya mitihani kama vile:
• Darasa la Nne - SFNA
• Darasa la Saba - PSLE
• Kidato Cha Pili - FTNA
• Kidato Cha Nne - CSEE
• Kidato Cha Sita - ACSEE
Vilevile app hii inakuwezesha kupata matokeo yote ya Mitihani ya Taifa (NECTA):
• Darasa la Nne - SFNA
• Darasa la Saba - PSLE
• Kidato Cha Pili - FTNA
• Kidato Cha Nne - CSEE
• Kidato Cha Sita - ACSEE