Payo Media ni App bora nchini Tanzania katika utoaji wa habari za Kitaifa, Michezo na Burudani pamoja na Udaku ama taarifa zinazohusu mastaa wa Bongo, zote unaweza kuzipata katika app yetu hii bora ya habari nchini.
Tupo makini na malengo yetu ni kuleta mageuzi katika sekta ya kuhabarisha Umma na watanzania kwa ujumla pamoja na kuwa wabunifu huku tukijitofautisha na wengine jinsi wanavyofanya kazi katika kuhabarisha, Ili ushuhudie jinsi tulivyo tofauti.
Pakua app yetu ya Payo Media ambapo unaweza kuipakua kwa Mb chache sana, lakini pia unaweza kutufuatilia katika mitandao ya kijamii kwa kutumia link zifuatazo hapo chini.
https://www.facebook.com/payomediatz
https://www.instagram.com/payomediatz
https://www.twitter.com/payomediatz
https://www.payomedia.com