Pakua application hii ya Necta Result uweze kuangalia matokeo ya Taifa kwa urahis zaid na haraka kama (matokeo ya kidato cha nne, kidato cha sita, kidato cha pili, darasa la saba, pamoja na darasa la nne). ni application hii pekee itakayokuwezesha kupata matokeo kwa haraka na urahisi zaid