Nyimbo za Kisabato ni app ya kiroho kwa waumini na wapenda muziki wa injili. Inakuletea nyimbo za Kisabato kwa lugha ya Kiswahili, zinazojulikana kwenye ibada na mikusanyiko ya Kikristo. Imebuniwa ili kuimarisha ibada za Sabato, kwaya, familia na vikundi vya maombi, huku ikikusaidia kukaa karibu na Mungu kupitia sifa na kuabudu.
App hii ni rafiki wa kiroho kwa kila anayetafuta nyimbo za Sabato na nyimbo za Kikristo kwa Kiswahili. SDA Hymnal – Nyimbo za Kisabato hutumika kama mwongozo wa ibada na nyenzo ya kukuza maisha ya kiroho na kiimani . Hii siyo app rasmi ya Kanisa la Waadventista, bali imetengenezwa kwa ajili ya msaada wa waumini na wote wanaopenda Nyimbo za sabato na nyimbo za kwaya ya kisabato.
Karibu tujumuike pamoja katika kusifu na kuabudu na kumtukuza Mungu wetu kwa Nyimbo za kumpendeza kutoka vitabu vya Nyimbo za kristo.
Unaweza kushare ili iwafikie waumini wengine .