Shajara ni kitabu maalumu ambamo mwandishi huandika matukio ya kila siku au ya muda fulani. Shajara binafsi huenda ikawa na mawazo ya mwandishi, yaliyompata kwa siku na pia malengo yake kwa siku zijazo.
Shajara binafsi huenda ikawa na mawazo ya mwandishi, yaliyompata kwa siku na pia malengo yake kwa siku zijazo.
Kando ya shajara binafsi, pia kuna shajara za mashirika ("Logbook") ambazo huonyesha matukio ya shirika hilo. Wanafunzi baada ya kusoma kozi fulani, kabla ya kumaliza masomo yao wanatakiwa waende kwa Kiambatisho Cha Viwanda (Industrial Attachment) huwa wanahitajika kuandika matukio ya kila siku kwa muda wa miezi mitatu hivi katika Shajara.
.