Wewe ni mwanachama, mpenzi ama shabiki kindakindaki wa Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club? Kama jibu ni ndiyo basi hapa ni mahali pako.
Pakua App hii kwa ajili ya kuwa karibu zaidi na Klabu yako kwa kuwa wa kwanza kuhabarika na kuburudika na habari kemkemi zinazojiri na zitakazojiri.
Ukiwa na App hii unajihakikishia kuwa hakuna lolote lile litakalokupita kuhusu Simba Sports Club.
Download, Rate na waambie pia rafiki na jamaa zako kuhusu App Hii