App rasmi ya Klabu ya Simba, Simba ni klabu iliyofanikiwa zaidi katika nchi za Afrika Mashariki,Hapa utapata wasaa wa kutazama magoli bora yaliyofungwa na wachezaji wa Simba,Marudio ya mechi,wachezaji wapya pamoja na mahojiano mubashara ya wachezaji wetu.